chakula afya arusha tanzania daressalaam wasafi weightloss baba food mama wanawake girls women bodygoals healthy fitness ladies nutritionalprogram supplements teamfit weightmanagement looks looseweight 2019 bodygoals2018 mwanza slimmeryou matukiotanzania
Cooking nyanya chungu (African eggplant), hizi nimepika Nzuri sn kula pamoja na nyama choma, samaki wa kukaanga Kwa ugali au ndizi mzuzu za kuchoma na kachumbari pembeni.
.
Nyanya chungu nimezi chemsha na mvuke, baada ya kupoa nikazitoa maganda, Kisha nikachukua pilipili kichaa 3 na nyanya 2, na tangawizi Kipande kidogo, na punje 4 za kitunguu saumu, nika saga ktk blender.
.
Baada ya hapo nikaweka sufuria jikoni na kutia mafuta vijiko 3 vikubwa yalipo pata moto nikaweka nyanya chungu na kuzikaanga kidogo ktk mafuta, Kisha nikamimina mchanganyiko wangu wa nyanya, pilipili, tangawizi, saumu kwenye nyanya chungu, Kisha nika hakikisha na geuza na mwiko kila kitu kichanganyike vizuri, niacha vichemke jikoni Kama dk tatu kisha nikazima jiko na kuweka sufuria pembeni. .
#karibu
follow @malkiawajiko @timumafanikio @madada3boutique .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
nyanyachungu #malkiawajiko #swahilifood #mapishi #jifunzemapishi #jiko #mbogamboga #tanzanianblogger #eggplantrecipe #roastveggies
.
.
#lunchprep #lunch #bamia #okra #tanzanianfood #chakula #ugali #mbogamboga .
.
#homecookingfood #simplerecipe #easyveganmeals #quickandeasyfood #africanfoods #africanfoodyummy #sweethome #africancooking #fishfried #foodfamily #beyoncespirit #lionking2019
Chapati for dinner: ndio nazipika hapa, mlo wa jioni inapendeza ukiwa unabadilisha vyakula kila siku, isiwe usiku kila siku ni wali tu, badilisha vyakula viazi, chapati, tambi, ndizi nk. Recipe Yangu ya chapati ni simple na ya uhakika, mtag pia rafiki yako anaye penda chapati;
Chapati recipe
Mahitaji
– ngano 1/2 kg
– mafuta 1/4 L
-chumvi kijiko kidogo 1
– maji 400 m/l
Jinsi ya kutengeneza Weka maji kwenye kibakuli (400 M/l) yawe ya uvuguvugu kisha tia chumvi na koroga vizuri ichanganyike.
Tia unga wa ngano katika bakuli kubwa ya kukandia, kisha tia mafuta kama vijiko vinne vikubwa katika unga. Kisha tia maji katika unga na anza kuukanda, kanda mpaka uone umechanganyika vizuri utengeneze donge moja kubwa. Ukimaliza anza kutengeneza vidonge vidogo vya duara, kama kwenye picha kisha unavipanga kwenye kibao. (angalia picha zinazo fata)
Kisha unachukua moja moja unasukuma, unaweka frying pan yako jikoni ukipata moto unaweka chapati, unaigeuza pande zote mbili ipate moto kisha unaweka mafuta unakaanga upande wa juu ukiwa tayari unageuza upande mwingine unaweka mafuta unaikaanga ukiwa tayari unatoa, unafanya hivyo mpaka zote zinaisha.
Chapati zako unaweza kula na chai, juisi au mchuzi wa nyama, maharage, mboga za majani au chochote utakachopenda.
.
follow @malkiawajiko @timumafanikio @madada3boutique .
Kupata ratiba ya chakula ya mwezi mzima, ipo ktk soft copy tsh 10,000 Whatsap 0752 741 831.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#chapati #chapatirecipe
homecookingfood #simplerecipe #quickandeasyfood #africanfoods #africanfoodyummy #sweethome #africancooking # #foodfamily
.
. #tanzanianfood #foodbloggerlife #swahilifood #mapishi #jikoni #malkiawajiko #jifunzemapishi #jiko #tanzanianblogger #chakula #mapishiyakiswahili
Mshukuru mwenyewezi Mungu kwa kukuamsha salama na kuiona leo
.... Kumbuka changamoto zipo katika maisha kwa ajili ya kukupa nguvu na ubunifu wa kufanya vitu kwa utofauti mkubwa
...... Usikubali Kuamka na mambo yaliyokuumiza jana katika shughuli zako Kwasababu leo una nafasi mpya ya kutengeneza kesho yako
....... Jukumu la Kufikia ndoto zako ni la kwako wewe na sio mtu mwingine, Usimlaumu mtu kwasababu hakukupa nafasi ya kufanya jambo fulani lakini yakupasa kutafuta njia nyingine ya kufanya mambo kwa ukubwa kuliko kuendelea kulalamika
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#maarifanaubunifu #kitengefashion #kitenge #tumewasha #hiiniyetusote #chakula #chombokwahewa #Tanzania #tanzania #roronation #wcb_tweets #wasafi #wasafitv #watapatatabusana #millardayosports #millardayo #kenyanfashion #kenyanmemes #Kenya #tanzanianweddings #tembeakenya #tetema #mungu #tetemachallenge #washkajizangu #nyuki_tv_team
Huu msuko unaitwaje?
.
.
1Bado unakata ticket kizamani?
Nenda na wakati baana.
Kata ticket za mabasi yote online upate kwa bei elekezi ya serikali.
Unaipata popote ulipo.
Mizigo yako pia tunakusafirishia kwa usalama na bei nafuu.
Huduma ya kuletewa ticket au mzigo popote vile vile utapata kutoka @thezanonlinebussticket .
Follow ukurasa wetu,
@thezanonlinebussticket
@thezanonlinebussticket
@thezanonlinebussticket
@thezanonlinebussticket .
.
#ujasiliamali #interprenuership #tanzania #safiri #logistics #travel #maisha #kitengefashion #girls #holiday #afcon2019 #follow4followback #utalii #watalii #daressalaam #goodlife #arusha #matukiotanzania #weddingdress #chakula #travellafrica #bunge #goodprice #visittanzania #harusi #africaninspired #dodoma #bloger #mama #baba
1Bado unakata ticket kizamani?
Nenda na wakati baana.
Kata ticket za mabasi yote online upate kwa bei elekezi ya serikali.
Unaipata popote ulipo.
Mizigo yako pia tunakusafirishia kwa usalama na bei nafuu.
Huduma ya kuletewa ticket au mzigo popote vile vile utapata kutoka @thezanonlinebussticket .
Follow ukurasa wetu,
@thezanonlinebussticket
@thezanonlinebussticket
@thezanonlinebussticket
@thezanonlinebussticket .
.
#ujasiliamali #interprenuership #tanzania #safiri #logistics #travel #maisha #kitengefashion #girls #holiday #afcon2019 #follow4followback #utalii #watalii #daressalaam #goodlife #arusha #matukiotanzania #weddingdress #chakula #travellafrica #bunge #goodprice #visittanzania #harusi #africaninspired #dodoma #bloger #mama #baba
Usipotambua kiini cha tatizo katika mahusiano yako basi kila siku makosa yatakuwa yanajirudia .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#kitenge #kitengefashion #maarifanaubunifu #eastafricanweddings #tanzanianweddings #kwangwaru #kenyanfashion #kenyanmemes #Kenya #tumewasha #mungu #millardayosports #maisha #shilawadu #udakutz #UDSM #sammisagonews #millardayo #nyuki_tv_team #nairobikenya #ayotv #chakula #tetema #rayvanny #washkajizangu #watapatatabusana
Me and rice, rice and me.. a never ending love story
Napenda sana mchuzi wa maji wa samaki wa kukaanga lakini sipendi yule samaki niliempikia mchuzi sijui ni mimi tu? nakua nahisi kama nimemtoa ladha hivi, basi lazima niweke pembeni japo kipande 1
Nakumbuka nilivyokua nyumbani tukipika mchuzi huu nilikua namuambia mama mimi samaki wangu asimtie kwenye mchuzi, basi alikua ananiambia sawa lakini na mchuzi hupati Yani wenzangu samaki wao waogolee wakwangu arelax kwenye sahani Huo mchuzi, kwenye sufuria naweka kitunguu maji,nyanya,hoho,viazi,chumvi,pilipili manga,bizari nzima, bizari ya mchuzi na kitunguu saum tangawizi.. naweka na maji kiasi nachemsha mpaka kila kitu kinawiva
Wakati huo huo nakaanga samaki pembeni, wakiwiva nawaweka mpaka kila kitu kimewiva kwenye mchuzi nawaweka wanachemka kwa dakika kama 5 mpaka 7 na mchuzi umebaki kiasi naepua.
Ukiwakaanga samaki halafu ukawaweka kwenye sufuria ya mchuzi moja kwa moja wanaweza kunyambuka, wakaange uwaweke pembeni wapoe kiasi.
#rice #fishcurry #kachumbari #samaki #shunaskitchen #jifunzemapishi #chakula #vyakula #vyakulavyakiswahili #yummy
Collecter les statistiques #CHAKULA effectuez une recherche à l'obtention des statistiques (Aller à la sélection).