Liste des hashtags les plus populaires par sujet #TAIFA

Publications: 7479
Publications par Jour: 0.41
pour supprimer le hashtag-cliquez 2 fois.
#tanzania #taifa #hapakazitu #daressalaam #azam #azamnews #azamnewsupdates #azamtv #azamtvapp #azamtwo #bungeni #bungenidodoma #ccmmpyatanzaniampya #dodomazoneupdates #globalpublisher #globaltv #millardayoupdates #milllardayo #tukutanekazini #wasafim #mumena_the_great #accrafashion #adenta #airporthills #alpha #capecoast #corporate #kasoa
Copier


Hashtags qui incluent hashtag #TAIFA
#taifastars #taifa #taifakubwa #taifastarsikulu #taifalemarat #taifakwanza #taifaleo #taifas #simbayakimataifa #wambeawakimataifa #harusiyataifa #taifastarz #kimataifa #taifa_stars #taifastar #taifallibres #mbeawakimataifasoudybrown #taifai #taifanclub #tukutanetaifa #shilawaduwambeawakimataifa #taifamily #mcwataifa #taifarmiga #tbctaifa
Copier

Hashtags sur le sujet #TAIFA

La calle de #Graná #CalleGraná #Garnatah #غرناطة #TAiFA #alAndalusSouthSide #FallahMankub #فلآح_منكوب #Morente #CarlosCano #Lorca ۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞۞ ✅ Calidad grosor de 165gr, cuello redondo de 4 capas y cubre costuras reforzado en  y hombros, costuras laterales y 100% algodón. Todas las tallas disponibles. ✅ Diseños disponibles en sudaderas y bolsas ✅ Opción de recoger en local en #Ishbiliya y #Garnatah sin gastos de envío. ✅Posibilidad de envío a cualquier país.

Hashtags sur le sujet #TAIFA

Repost from @romyjons using @RepostRegramApp - Na hii ndio official ALBUM COVER ya ALBUM yangu ya kwanza inayoitwa CHANGES. . IN SHA ALLAH itakua mtaani tarehe 16 ya mwezi wa nane. . 30 mwezi huu tutapata kuziskiliza nyimbo kadhaa zilizopo kwenye ALBUM YA CHANGES. . SAMAKI SAMAKI YA MLIMANI CITY ndio sehemu tutakayokutana kuskiliza na kubadilishana mawazo juu ya ALBUM hiyo ya CHANGES . . Card ya mualiko itakufikia hivi karibuni. . Cc @samaki_samaki @wcb_wasafi @wasafifm @wasafitv. . Graphics : @jabeerfx . #CHANGESTHEALBUM

Hashtags sur le sujet #TAIFA

@baba_keagan Hapa..ndio namkumbuka..Marehem Sitta. Mnamo - Mwaka 1995 Sitta aliingia kwenye mapambano mapya ya siasa za vyama vingi na kwa bahati mbaya akawa mmoja wa vigogo walioangushwa na wabunge wa NCCR. Mshindani wake mkuu alikuwa Msina Jacob Abraham. Msina alishinda kwa kura 10,788 dhidi ya 9,497 za Sitta. Sitta alirudi tena kwenye jukwaa la siasa mwaka 2005 kwenye uchaguzi mkuu na aliwashinda wapinzani wake wakuu Lumatiliza Yotamu Lubungila wa NCCR na Wilson George Ntakamulenga wa CUF. Sitta alipata kura 28,660 (72.3%) na kurejesha heshima yake jimboni Urambo Mashariki. Kurudi kwa nguvu kulimpa nafasi ya kuwania na kuteuliwa na CCM kugombea uspika wa Bunge la Tanzania na akaliongoza Bunge la Tisa kwa mafanikio na changamoto nyingi. Mwaka 2010 Sitta alishiriki tena uchaguzi Urambo Mashariki akawashinda wapinzani wake wakuu Msafiri Abdulrahmani Mtemelwa (Chadema) na Zombwe Lotto Edward (CUF) kwa kupata kura 19,947 (70.47%). Baada ya ushindi huo, Sitta alijaribu tena kuwania uspika bila mafanikio; utendaji wake wa kuiuma serikali na wakati mwingine kuipuliza kwenye Bunge la Tisa ulimfanya achukiwe na serikali. Ilipoonekana ana nguvu akatengenezewa “chui wa karatasi” (mshindani), Andrew Chenge. Chenge naye akachukua fomu ya uspika ghafla, likatengenezwa ‘zengwe’ kuwa wagombea wote wana nguvu, hapo CCM ikapata mwanya wa kutamka kuwa haiwataki wote ili kuondoa mvutano. Sitta akapoteza ndoto za uspika na ukahamia kwa mwanamama Anne Makinda. Rais Jakaya Kikwete alipotangaza Baraza la Mawaziri mwaka 2010 alimpa Sitta Wizara ya Afrika Mashariki kama Waziri, wadhifa aliodumu nao hadi mwanzoni mwa mwaka 2015 alipobadilishwa na kupelekwa Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi. #mumena_the_great #ccmmpyatanzaniampya #hapakazitu #tukutanekazini #tanzania #tanzania #daressalaam #milllardayo #millardayoupdates #globalpublisher #globaltv #azam #azamtvapp #azamtv #tanzania #taifa #tanzania #hapakazitu #BungeniDodoma #bungeni #AzamNewsUpdates #AzamTWO #azamnews #DodomazoneUpdates #wasafimedia #wasafitv #wasafifm #wasafi #rwanda #kigali

Hashtags sur le sujet #TAIFA

NUEVAS ARBONAIDAS‼️ . ✅ Popelín resistente y dobladillo en todo el marco, pa que no se desilache ✅ Serigrafía con tinta, no se agrietea!! ✅ 110cm x 80cm pa que se vea biein ✅ Canutillo pa los palos (medida algofifa) ✅ Opción de recogerla en #Ishbiliya y #Garnatah, sin gastos de envío #Arbonaida #AndalucíaLibre #TAiFA #alAndalusSouthSide


Hashtags sur le sujet #TAIFA

Mimi sijui Nani #mbea wa #taifa wote mabosi zangu Mnakimbizwa huku na ukienda huku nako balaa dah hii kazi ngumu kweli Ndio niliyoichagua Cameraman wa umbea tz @soudybrown #SHILAWADU @geahhabib #GEAHTV Mnanitoa chambo na hili tumbo sasa nakimbiaje mimbio na camera mkononi #king of #umbeaproduction #ONYANGOPRODUCTION

Hashtags sur le sujet #TAIFA

Весна в Чукуре.. . Продолжение линейки TAIFA SPORT второй сезон . #ктовтеметотпоймет #cukur #anambabam #cukursport#taifa#dagestan#stambul#махачкала#новинки

Hashtags sur le sujet #TAIFA

KIKOSI CHA WACHEZAJI 32 WA TAIFA STARS KITAKACHOONDOKA LEO KWENDA #misri KWA MAANDALIZI YA #afcon2019 . Cc @shaffihdauda_ . Magolikipa 1-Aishi Manula (Simba SC) 2-Metacha Mnata (Mbao) 3-Aron Kalambo (Tz Prisons) 4-Seleman Salula (Malindi) 5-Claryo Boniface (U20) Mabeki 6-Hassan Kessy (Nkana, Zambia) 7-Vicent Philipo (Mbao) 8-Gadiel Michael (Yanga) 9-Mohamed Hussein (Simba) 10-Ally Sonso (Lipuli) 11-Erasto Nyoni (Simba) 12-Kelvin Yondani (Yanga) 13-David Mwantika (Azam) 14-Agrey Moris (Azam) 15-Abdi Banda (Baroka, Afrika Kusini) Viungo 16-Himid Mao (Petrojet, Misri) 17-Mudathir Yahya (Azam) 18-Feisal Salum (Yanga) 19-Fred Tangalu (Lipuli) 20-Frank Domayo (Azam) Winga 21-Saimon Msuva (Difaa El Jadid, Morocco) 22-Shiza Kichuya (ENPPI, Misri) 23-Farid Mussa (Tenerife, Hispania) 24-Miraji Athumani (Lipuli) 25-Yahya Zayd (Ismaily, Misri) Washambuliaji 26-Thomas Ulimwengu (JS Soura, Algeria) 27-Shaban idd Chulunda (Tenerife, Hispania) 28-John Bocco (Simba) 29-Mbwana Samatta (Genk, Ubelgiji) 30-Kelvin John Mbappé (U17) 31-Rashid Mandawa (BDF, Botswana) 32-Adi Yussuf (Solihull Moors, England) . . #kigoma #utaliiwandani #arusha #manyaranationalpark #mwanza #tumewasha #taifastars #nguvumoja #afcon #taifa #nguvuyauma #taifastars #tanzania #tanzaniaparks #tanzanianationalparks #serengetipark

Hashtags sur le sujet #TAIFA

Hii ni leo hii kuelekea #egypt cc @tanfootball . . . #kigoma #utaliiwandani #arusha #manyaranationalpark #mwanza #tumewasha #taifastars #nguvumoja #afcon #taifa #nguvuyauma #taifastars #tanzania #tanzaniaparks #tanzanianationalparks #serengetipark #ngorongoronationalpark #mikuminationalpark #manyaranationalpark #utaliiwandani #tanzaniatourism #parks #tumewasha #kigoma #kilimanjaro #arusha #mwanz


Hashtags sur le sujet #TAIFA

@mai_zumo @samagoal77 #taifa



Collecter les statistiques #TAIFA effectuez une recherche à l'obtention des statistiques (Aller à la sélection).