inama mchezousiuchezee wcb4life hiiniyetusote wasafi afrobeats afrobongo cloudsfm fynbyfalsafa inamadf inamadp isheketue kaaaaaaaaaaaaaaaabisa kingkiba leotena lingala mchezousiuchezeewewe millardayosports mofayabyalikiba nyotawamchezo selfmade shilawadu supportedbykiba theonedp tigofiesta2018 utabakikuwajuu vannycokefreestylechallenge diamondplatinumz simba millardayosports
DUBAI!!! SEE YOU WHEN YOU SEE ME!!!.... TANZANIA!!! MTWARA!!!! LION YUPO KWA NJIA NOW!!!!....Request nnazopokea ni nyingi, na kila mtu angependa kuja mtwara Kwa mara yabKwanz Kushuhudia Historia ya MAPINDUZI ya kiburudani ikiandikwa... lakini kwa bahati mbaya wengine uwezo hamna.... Kwa Kuwathamini natafuta Kampuni Ya Tours ili iweze kufadhili Gari mbili kwajili Yenu... Moja kwajilo ya Models Wote walioshiriki Katika Videos Mbalimbali zetu na Lingine kwajili ya Mashabiki wa Damu....
Hivi Ulinifikishia ule ujumbe kwa Jirani yako kuwa "Asifute Comments"
#SanaaImezaliwaUpya
#HawaaminiWanachoKiona
#ShilingiImepinduka
#BichwaLimekuwaMwenge
#MchezoUsiuchezee
#kaaaaaaaaaaaaaaaabisa
@pepsi_tz #Pepsitz #LiveForNowTZ #LiveForNow
Hii Ilikuwa Jana Kwenye Tuzo za #MTVEMA Wakati Legend @janetjackson akitoa Perfomance Kali kwenye Stage na alifanikiwa Kupokea Tuzo ya Global Icon 2018
#JanetJackson aliperfome Nyimbo Tofauti Ukiwemo Huu uliotoka Miezi Miwili iliyopita wa #MadeForNow aliyoshirikiana na @daddyyankee
#MTVEMAAwards2018 #MTVAwards#MTVEMA #mtvema2018
#MchezoUsiuchezee#Kaaaaaaaaaaaaaaaabisa #KaaKitaalam#HiiNiYetuSote
SIKU YA UHURU WA BURUDANI TANZANIA.
Tanzania Ipo Teyari!!
Tasnia Ipo Teyari!!
Wasanii Wapo Teyari!! Wananchi Wapo Teyari!!
NA SISI TUPO TEYARI
_
Haya Ni Mapokezi Ambayo Tulikuwa Tunakutana Nayo Njiani Wakati Tunaelekea Mtwara,Hakika Tumeona Ni Kweli Kila Mtanzania Alichoka Na Utawala Mbovu Na Wa Mabavu Na Sasa Wapo Teyari Kwa Mageuzi Na Tasnia Ipate Uhuru Wake Ili Wasanii Wawe Na Furaha Na Mafanikio Ya Kweli...
_
#TukutaneWasafiFestival
#MchezoUsiuchezee
#Kaaaaaaaaaaaaabisa
#SanaaImezaliwaUpya
WEPO MWANA...MCHEZO UNAUNG`ANILE KAAAAAAAAAAAAAAABISA !
Baada Ya Masaa Zaidi Ya 11 Hatimae Tuliingia Mji Wa Mtwara Majira Ya Saa 12 Jioni...Wakazi Wa Mtwara Kuanzia Mikindani MJI WA KIHISTORIA Waliongozana Na Sisi Wakiwa Wanakimbia Kwa Miguu Mpaka Mtwara Mjini Ambapo Ni Umbaki Zaidi Ya KILOMITA 5 Lakini Kwa Upendo Walionao Hawakujali Hilo...
_
Kutokana Na Uwingi Wa Wananchi Kutanda Barabarani Ilitulazimu Kutembea Kwa Speed Ndogo Ili Kila Mwananchi Aliyeguswa Na Mapinduzi Haya Apate Kuungana Nasi.
_
KESHO TUNAKUTANA KIWANJA CHA NANGWANDA SIJAONA KUANZIA SAA 12 JIONI
#MchezoUsiuchezee
#Kaaaaaaaaabisa
#SanaaImezaliwaUpya
Siku Iliyosubiriwa Kwa Hamu Na Kila Mtanzania Hatimae Imefika....Ni Usiku Unaoenda Kuandika Historia Mpya Katika TASNIA Ya Burudani Nchini, Ni Usiku Ambao Wasanii Wanenda Kusahau Mateso,dhuruma,Chuki,Manyanyaso Ya Mda Mrefu Sana.
_
Mapema Leo Ndani Ya Uwanja Wa NANGWANDA @rayvanny DRIP BOY ALIPOKUWA ANAFANYA SOUND CHECK Teyari Kwa Ajili Ya SHOW
#WasafiFestival2018
#MchezoUsiuchezee
#Kaaaaaaaaaaaaaaabisa