List of the most popular hashtags for theme #WANAUME

Publications: 3366
Posts per Day: 0.09
Double click for delete hashtag
#wanaume #wanawake #arusha #tanzania #mwanza #baba #chakula #mama #afya #uzazi #multimaca #daressalaam #wasafi #afyayangu #dodoma #afya_kwanza #chaiwalacafe #daresalaam #food #girls #looseweight #modewji #tzhotels #uhurufc #uzitomkubwa #women #2019 #kampala
Copy


Hashtags that includes hashtag #WANAUME
#wanaume #wanaumewadar #wanaumekazini #wanaume_wa_dar #wanaumewadarchallenge #wanaumewadah #wanaumewamikoani #wanaumefamily #wanaumetumeumbwamateso #wanaumekamamabinti #wanaumehalisi #wanaumemashine #wanaumeeeeeeee #wanaume_tumeumbiwa_mateso #wanaumewakinondoni #wanaumewakindoni #wanaumetumeumbwa #wanaumelive #wanaumee #wanaumewenyematakomakubwa #wanaume_kazini #wanaumetmk
Copy

Hashtags for theme #WANAUME

msikilize huyo hapa Kisha drop comment yako hapa mdau . . . . . . . . . . . . #joto #wanaume #tetema #meimosi2019 #mashabiki #shabiki #burdanilnaendelea #wewenibora2019 #wemasepetu #weddingfashion #weloveghanaweddings #dam_dam #udaku #dudubaya #udakutz_ #udakoko18 #chombokwahewa #changamoto #gogaga #gagged

Hashtags for theme #WANAUME

#Kutelekezawatoto sio swala la #Wanaume pekeyao

Hashtags for theme #WANAUME

#GIVE_HIM_FREEDOM God sent him to you knowing that he would love you beyond reason. Ndivyo Mungu hufanya kwa kila mmoja hata kwako wewe. Usiharibu kusudi la Mungu kwa tabia ndogo ndogo #unambana mpaka basi. Wanawake vitu vinavyovunja mahusiano yetu ni #kukosa_uelewa #kukosa_hekima (kupokea, kujibu na kutafuta suluhu ya jambo) #kukosa_ukomavu_wa_akili Kabali tukabe jamani mpaka penati ila #Wanaume wetu wanahitaji Uhuru 1. Wakusociolize 2. Kuwa huru na simu zao. Kabla hajawa na wewe wapo aliowajua kabla yako dyadya, wale aliosoma nao #vidudu wapo wale wa #Sunday school au #madrasa ongeza #classmates wa shule zote bado #ofisini bado #familia (ndugu zake) WAKO NI WAKO TU KAMA MUNGU ALIKUPA NA UNAAMINI HIVYO. Wale wadada wa ofisini akiongea nao muache ni dada zake aliwaona kabla hajawa na wewe, usimuwekee mipaka na kumchagulia watu wakuongea nao kama hakuna shida yeyote zaidi ya #wivu wako. Kama kuna kitu hupendezwi kwenye ukaribu wao zungumza dukuduku lako kwa adabu bila kutuhumu kuwa anauhusiano nao wa kimapenzi ili hali akili yake haipo huko. Ukiongea kwa adabu atajua nini aache au apunguze kufanya ili usikwazike. Elewa kuna mazoea tu aliyaweka awali na wala yeye hakuwa anaona tatizo anza kuelewa, kisha eleza mpe nafasi ya kufanyia kazi, #kama_anajali_hisia_zako_atakuelewa. SIMU Alikuwa akipiga/akipigiwa simu na watu tofauti tofauti kabla ya uwepo wako, usimpe sababu ya kwenda kuongea na simu zake mafichoni. Mtengenezee mazingira yakupiga na kupokea mkiwa pamoja. Tupunguze au tuache haya 1. Unaongea na nani? 2. Kwanini kakupigia sahivi? 3. Mbona unaongea naye hivyo? #akitoka_na_umeagwa 4. Upo wapi? 5. Upo na nani? 6. Nipe niongee naye 7. Mbona nasikia sauti ya Mwanamke? Kuweka #password kwenye simu sio tatizo hata kidogo ila wakati mwingine tunawalazimisha wafanye hivyo #HATUJIAMINI Mpe uhuru aongee na simu yake mpe uhuru wa kuwa na muda binafsi wakufurahi na marafiki zake #ndo_ku_enjoy_kwemyewe Tufanye practice kesho

Hashtags for theme #WANAUME

Tunapenda beach - wapenzi wetu week ijayo tutakua na picha rasmi kwa ajili ya swimming costume #na ili kuona bizaa zetu tunaomba utu follow @beachbebas @beachbebas @beachbebas @beachbebas ziko za watoto wa kike wa kiume kuanzia umri wa mwaka mpaka miaka 12 #pia tunazo za wadada wakina mama #wanaume Na wanawake #KARIBUNIIIIII ⛱⛱❤️ @beachbebas @beachbebas @beachbebas @beachbebas


Hashtags for theme #WANAUME

#Mzeewaupako_tz Atoa tamko kuhus #Wanaume tegemezi kwa wake zao.

Hashtags for theme #WANAUME

Haya #WANAUME njooni mchukue mashati yenu Nataka nianze kua #SISTADU sasa nimeambiwa nikiwa SISTADU napendesa munoo #TILALILA bonyeza link kwenye bio juu kuisikiliza

Hashtags for theme #WANAUME

#WOMEN_ARE_TOO_or_OVER_EMOTIONAL Hii inasababisha wanawake wanafanya mambo na maamuzi yakushangaza yenye tafsiri mbaya kiasi cha kuonekana kituko na majuto mbele‍♀. Umewahi kujiuliza na kutaka kujua kwanini #Wanawake na Sio #Wanaume Ninashare na wewe nilichojifunza katika kusoma soma vitu, fuatilia itakusaidia. Wanaume na Wanawake wameumbwa tofauti na namna #ubongo wao unavyofanya kazi. Kwenye ubongo kuna pande mbili #kulia_na_kushoto. Wanawake hutumia pande zote mbili za ubongo wakati wanaume hutumia upande mmoja zaidi wa ubongo ambao ni upande wa kushoto. Upande wa kushoto wa ubongo wetu hushughulika na #mantinki na #ujuzi_wa_kutatua_matatizo. Ubongo wa Kulia unashughulika na 1. Kazi ya kuunda lugha 2. Ubunifu 3. Ujuzi wa kusoma hisia za mtu kwa kumuangalia usoni. 4. Kuzalisha hisia. Ni ubongo wa kushoto pekee ndio unahusika na #IQ wakati wa kulia unahusika na #EQ. Wanaume wapo vizuri zaidi katika kukabiliana na hali kwa kutumia #mantiki Wanawake kwakuwa tunatumia pande zote mbili za ubongo hivyo tunashughulika na matatizo na ubunifu tukiwa tunaelewa hisia zinazoambatana na mambo hayo. Vilevile ubongo wa kulia unahusika na uwezo wetu wa kueleza hisia na fikra zetu na kudaka au kuelewa lugha. Hivyo wanawake wanafahamika kwakuwa vizuri katika kuchagua maneno mpya katika lugha na kuwa wabunifu. Wanawake wapo vizuri katika mfumo wa limbic, huu unahusika na #tabia, #hisia na #kumbukumbu. Mfumo unawaruhu wanawake kuelezea hisia zao kwa njia nzuri na kuwa karibu na wengine kirahisi. Tatizo ni moja tu, mfumo huu #hufungua_mlango_wa_huzuni na hapo ndo tatizo linaanza. #Inaendelea✍..... #Fuatilia_partB.

Hashtags for theme #WANAUME

#UJUMBE_MAALUM_KWA_WANAWAKE Tunafundishana na kupotoshana sana kuhusu #WANAUME Tunaambiana Wanaume wote baba yao mmoja mara Mbwa lakini hao hao mbwa wasipotuoa tunamaliza makanisa na misikiti yote kuombewa tuolewe nao @rynessence thank you for this. Halafu tukiolewa tunageuka kuwa MAAFISA UTAFITI Nakukumbusha rafiki, angalia unailisha nini akili yako na moyo wako. Mateso mengi katika mahusiano/Ndoa zetu yameanzia kwenye fikra zetu na mitazamo yetu juu ya #WANAUME #Na_kama_ulikuwa_haujui_TRUST_ndo_mratibu_wa_mahusiano Mimi ndo naanza Yaani wangu mimi #sio_mbwa_Aiisseee #Baba_yake_ni_tofauti hayupo kwenye huo ujumla wako/wenu Na ndo nakuambia kwamba #Trusting_him_is_my_decision_but_him_proving_me_right_is_his_choice UKIELEWA ITAKUSAIDIA


Hashtags for theme #WANAUME

Part 8. Raha na Furaha ya mke ni kudeka. #Wanaume Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #WCC +255 713 18 39 39



Get all stats #WANAUME search for statistics (Go to search).