changetanzania tanzania wasafi biashara itvnews kingkiba mangekimambi shilawadu tanzaniafashion tanzanian tanzanianfashion tanzaniangirl tanzanianweddings tanzaniaparks tanzaniapremierleague tanzaniasafari tanzaniawedding tanzaniaweddings tutaelewanatu visittanzania wasafidotcom wasafifestival wasafifestival2018 wasafifm wasafimedia wasafitv wcbwasafi wemasepetu zarithebosslady konkimaster
Yaani kuna vitu hii nchi unakaa na kujiuliza
Huyu @kigogo2013 huko Twitter alisema takriban saa 6 mchana kuwa wanampeleka Raphael Mombasa na kweli kapatikana saa 9 leo
Ina maana mengine aliyosema nayo kweli? Maana wengine huwa tunaona ni hadithi za Abunuwasi ila katika hili maswali yanazidi kuongezeka
Hawa watu wasiojulikana wakome maana wanavyozidi kuteka watakuja kujulikana mbona?
#Tanzania hi siitambui! Utekaji kila kukicha mara kurupushani na upinzani yaani mambo shaghalabhagala! Ila #TutaelewanaTu #ChangeTanzania
Good news!!! Yaani hashtag #BringBackRaphaelOngangi iliyopamba moto Twitter na ku trend hadi Kenya imesikikika
Shukrani kwa wale wote walioshiriki na kumsaidia sister wetu Veronica kufuta machozi yake kwa siku 8
Hawa watu wasiojulikana wameshaanza kujulikana mbona? Ipo siku tutawajua - Mungu yupo!
#TutaelewanaTu #ChangeTanzania
#Repost @veronicakundya with @get_repost
・・・
Nipo hapa leo nikiwa na furaha kubwa sana sana kuushuhudia UKUU WA MUNGU
.
My Raphael AMEPATIKANA leo Mombasa na yupo salama , sina taarifa ingine zaidi ya hio ila hio pia INATOSHA sana kwangu .
Sina mengi ya kusema zaidi ya KUMSHUKURU MUNGU sana sana kwa kuwa yeye ni Mungu wa miujiza maana ametenda
.
Napenda KUWASHUKURU WOTE kwa moyo wangu wote kwa niaba ya familia yangu kwa sala na kujitoa kwenu kwa hali na mali kwenye kipindi hiki kigumu .
Mimi na familia yangu tutaishi kutangaza ukuu wa Mungu
.
Mungu azidi kutubariki sisi sote na familia zetu
.
@official_k2ga .
.
.
.
.
.
#tanzaniaparks #tanzaniapremierleague #zarithebosslady #wasafidotcom #wemasepetu #shilawadu #wasafifestival #itv #mangekimambi #wasafimedia #wasafifestival2018 #tanzanian #tanzania #itvnews #tanzanianfashion #visittanzania #wasafitv #wcbwasafi #tanzanianweddings #wasafi #tanzania #tanzaniangirl #tanzaniafashion #tanzaniasafari #tanzaniaweddings #wasafifm #changetanzania #tanzaniawedding #kingkiba
Hivi mnajua kuna mabadiliko makubwa ya sheria yameletwa kwa hati ya dharura itagusa mpk sekta ya Filamu, azaki zote mpk za kidini na hata uanzishaji wa kampuni ya kibiashara?
Muswada husika yaani the Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act no.3 (2019) unahusu sheria nane: Sheria ya Makampuni, (Sura ya 212), Sheria ya Hakimiliki, (Sura ya 218), Sheria ya Filamu na Michezo ya Kuigiza, (Sura ya 230), Sheria ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali, (Sura ya 56), Sheria ya Vyama vya Kijamii, (Sura ya 337), Sheria ya Takwimu (Sura ya 351), Sheria ya Uwakala wa Meli, (Sura ya 415) na Sheria ya Muunganisho wa Wadhamini, (Sura ya 318).
Mabadiliko haya yanaminya #UhuruWetu kwani wasajili watakaoteuliwa na Rais wanaweza kufuta kampuni au azaki au kutoruhusu filamu ionyeshwe nchini
Weka sahihi kwenye petition (link in bio)
Na ingia Youtube @kwanzatv uangalie mjadala wa Ongea na Shangazi ambapo Shangazi Fatma, @advocate_jebra na Sheikh Kundecha wanaeleza athari za mabadiliko haya yakipita yalivyo
#ChangeTanzania
#TutaelewanaTu
Fasjet wapo wamejaa tele wanapasua anga za nchi jirani hadi tuzo wameshinda na ktk maelezo yao Tanzania hakuna tena. Wao wanasonga!
Acha sisi tuendelee kupambana na hali yetu mpk tuelewe maana ya uchumi shindani na soko huria. Ndo nasema hamukomoi mnjikomoa na tunakomoana
#TutaelewanaTu #ChangeTanzania
Collecter les statistiques #CHANGETANZANIA effectuez une recherche à l'obtention des statistiques (Aller à la sélection).