Список из самых популярных хештегов по теме #CHANGETANZANIA

Публикации: 9921
Публикации в День: 0.54
Для удаления хештега - кликнуть 2 раза.
#changetanzania #tanzania #wasafi #biashara #itvnews #kingkiba #mangekimambi #shilawadu #tanzaniafashion #tanzanian #tanzanianfashion #tanzaniangirl #tanzanianweddings #tanzaniaparks #tanzaniapremierleague #tanzaniasafari #tanzaniawedding #tanzaniaweddings #tutaelewanatu #visittanzania #wasafidotcom #wasafifestival #wasafifestival2018 #wasafifm #wasafimedia #wasafitv #wcbwasafi #wemasepetu #zarithebosslady
Скопировать


Хештеги которые включают в себя хештег #CHANGETANZANIA
#changetanzania #changetanzaniaforum #changetanzaniaform #changetanzaniawomenforum #changetanzania2015 #changetanzaniaforum2019 #changetanzaniapanelist #changetanzaniarasmanyara #changetanzaniapanelists #changetanzaniar #changetanzaniaannualforum #changetanzaniatogether #changetanzaniaforumarusha #changetanzaniadr
Скопировать

Хештеги на тему #CHANGETANZANIA

Yaani kuna vitu hii nchi unakaa na kujiuliza Huyu @kigogo2013 huko Twitter alisema takriban saa 6 mchana kuwa wanampeleka Raphael Mombasa na kweli kapatikana saa 9 leo Ina maana mengine aliyosema nayo kweli? Maana wengine huwa tunaona ni hadithi za Abunuwasi ila katika hili maswali yanazidi kuongezeka Hawa watu wasiojulikana wakome maana wanavyozidi kuteka watakuja kujulikana mbona? #Tanzania hi siitambui! Utekaji kila kukicha mara kurupushani na upinzani yaani mambo shaghalabhagala! Ila #TutaelewanaTu #ChangeTanzania

Хештеги на тему #CHANGETANZANIA

Good news!!! Yaani hashtag #BringBackRaphaelOngangi iliyopamba moto Twitter na ku trend hadi Kenya imesikikika Shukrani kwa wale wote walioshiriki na kumsaidia sister wetu Veronica kufuta machozi yake kwa siku 8 Hawa watu wasiojulikana wameshaanza kujulikana mbona? Ipo siku tutawajua - Mungu yupo! #TutaelewanaTu #ChangeTanzania #Repost @veronicakundya with @get_repost ・・・ Nipo hapa leo nikiwa na furaha kubwa sana sana kuushuhudia UKUU WA MUNGU . My Raphael AMEPATIKANA leo Mombasa na yupo salama , sina taarifa ingine zaidi ya hio ila hio pia INATOSHA sana kwangu . Sina mengi ya kusema zaidi ya KUMSHUKURU MUNGU sana sana kwa kuwa yeye ni Mungu wa miujiza maana ametenda . Napenda KUWASHUKURU WOTE kwa moyo wangu wote kwa niaba ya familia yangu kwa sala na kujitoa kwenu kwa hali na mali kwenye kipindi hiki kigumu . Mimi na familia yangu tutaishi kutangaza ukuu wa Mungu . Mungu azidi kutubariki sisi sote na familia zetu .

Хештеги на тему #CHANGETANZANIA

@official_k2ga . . . . . . #tanzaniaparks #tanzaniapremierleague #zarithebosslady #wasafidotcom #wemasepetu #shilawadu #wasafifestival #itv #mangekimambi #wasafimedia #wasafifestival2018 #tanzanian #tanzania #itvnews #tanzanianfashion #visittanzania #wasafitv #wcbwasafi #tanzanianweddings #wasafi #tanzania #tanzaniangirl #tanzaniafashion #tanzaniasafari #tanzaniaweddings #wasafifm #changetanzania #tanzaniawedding #kingkiba

Хештеги на тему #CHANGETANZANIA

Prof Assad na IST yake anawatakia Jumapili njema , #TutaelewanaTu #ChangeTanzania


Хештеги на тему #CHANGETANZANIA

Tukianza kukubali kisichokubalika basi tumekwisha kama jamii Kwa hiyo kamwe tusikubali kisichokubalika! Tusikubali dhulma, uonevu na ukatili! #ChangeTanzania

Хештеги на тему #CHANGETANZANIA

Hivi mnajua kuna mabadiliko makubwa ya sheria yameletwa kwa hati ya dharura itagusa mpk sekta ya Filamu, azaki zote mpk za kidini na hata uanzishaji wa kampuni ya kibiashara? Muswada husika yaani the Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act no.3 (2019) unahusu sheria nane: Sheria ya Makampuni, (Sura ya 212), Sheria ya Hakimiliki, (Sura ya 218), Sheria ya Filamu na Michezo ya Kuigiza, (Sura ya 230), Sheria ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali, (Sura ya 56), Sheria ya Vyama vya Kijamii, (Sura ya 337), Sheria ya Takwimu (Sura ya 351), Sheria ya Uwakala wa Meli, (Sura ya 415) na Sheria ya Muunganisho wa Wadhamini, (Sura ya 318). Mabadiliko haya yanaminya #UhuruWetu kwani wasajili watakaoteuliwa na Rais wanaweza kufuta kampuni au azaki au kutoruhusu filamu ionyeshwe nchini Weka sahihi kwenye petition (link in bio) Na ingia Youtube @kwanzatv uangalie mjadala wa Ongea na Shangazi ambapo Shangazi Fatma, @advocate_jebra na Sheikh Kundecha wanaeleza athari za mabadiliko haya yakipita yalivyo #ChangeTanzania #TutaelewanaTu

Хештеги на тему #CHANGETANZANIA

Fasjet wapo wamejaa tele wanapasua anga za nchi jirani hadi tuzo wameshinda na ktk maelezo yao Tanzania hakuna tena. Wao wanasonga! Acha sisi tuendelee kupambana na hali yetu mpk tuelewe maana ya uchumi shindani na soko huria. Ndo nasema hamukomoi mnjikomoa na tunakomoana #TutaelewanaTu #ChangeTanzania

Хештеги на тему #CHANGETANZANIA

@mariastsehai & Fatma Karume Credit: @officialchangetanzania #TutaelewanaTu #ChangeTanzania


Хештеги на тему #CHANGETANZANIA

Hayumbi na amekataa kuomba radhi, anasisitiza "Bunge ni dhaifu" Hahongeki, hatishiki! Kasimama kwenye taaluma na analindwa na Katiba Asante Prof Mussa Assad kwa kuonyesha msimamo! Kwani kuna anayeteseka? #ShujaaWetu #IStandWithCAG #IStandWithCAG #IStandWithCAG #TutaelewanaTu #ChangeTanzania



Собрать статистику #CHANGETANZANIA выполните поиск с получением статистики (Перейти к подбору).