sisinisokaburudaniinaendelea azamtvapp azamsport2 sisinisoka nguvumoja yangavssimba azamone azamsporthd azamtv azamtwo simbasc theone clouds habari sisi sultan azamfederationcup ligikuutanzaniabara startv tanzaniapremierleague azam azamhd ainama sisinimashahiditu tanzaniapremierleague
ASANTE KWASI
________***__________.
✍Alitokea Lipuli akajiunga na Simba alikuwa Anacheza Leftfooter Ni mzuri sana kwa kupandisha Mashambulizi na Ni mtaalamu wa Mpira iliyokufa eg.Mechi ya Lipuli vs Simba kipindi yupo Uheheni Alipiga Majaro ambayo ilimshinda ManuraNdio akasajiliwa.
SASA HIVI HAJULIKANI HATA ALIPO KACHEZA MECHI CHACHE MNO AKIWA SIMBA..
(Yaani acheni kuua vipaji vya watu)
__________________________
✍Leo kwa GARDIEL MICHAEL MBAGA.
Alikuwa anahitajika hapa yanga na hela ilikuwepo nadhani ile club ya South ilikuwa wakati Muafaka wa kwenda kule ivi kuna kitu gani kigeni kwako ***Hapoa simba****Namba yako IPO na fundi***Tshabalala ***Huu mwaka wacha tuone Mengi****Hongera GARDIEL Nenda na wenzako wapate nafasi ila ulichokifanya so powa ***kuzungusha viongozi wetu***Bila mafanikio Uende huko kwenye mafanikio ukanufaike***Jifunze toka kwa KWASI what happened upon him
__________________________
✍Tuendelee kujazana ila huu upepo wa Bahari Da unabadirika badirika sana huende ***Bessen***likaenda mtaa wa Bamia ila imeniuma kwa beki kama gardiel***kuacha nafasi wazi****kwenda kubanana sehemu zenye nafasi kibao ***sjui tunaenda kukuza kipaji au kukibomoa....
___________________________
****KWASI DA SIMBA MUNGU ANAWAONA****YALIKUWA MAKUBALIONA KUMUWEKA BENJI AU KUIVURUGIA YANGA?
✍Hapa inakuwaje......
✍Asante kwasi
✍haruna niyonzima
✍Salamba
Time will tell us....
___________________________
#azamtvapp
#AzamUtv
#azamutvnews
#azamsport2
#sisinisokaburudaniinaendelea
#simbasc
#ssc
#ccl
#ainama
@yangasc #azam #azamtv #azamsporthd #azamsport2 #azamtvapp #azamtwo #azamone #sultan #wcb #theone #ssc #ccl #vpl #tpl #ligikuutanzaniabara #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #startv #sisi #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #clouds #itv #habari #simbasc #nguvumoja #yangavssimba #zbc2 #tff #sisinimashahiditu
Huyu Nani tena anasaini saa Saba za Usiku...Ahaa yule anayekimbia kama Magari ya Ambulance....wow karibu jangwani.
#azam #azamtv #azamsporthd #azamsport2 #azamtvapp #azamtwo #azamone #sultan #wcb #theone #ssc #ccl #vpl #tpl #ligikuutanzaniabara #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #startv #sisi #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #clouds #itv #habari #simbasc #nguvumoja #yangavssimba #ainama #azamhd
Hii kutoka Mako Makuu.
Feisal Salum Angalizo Ogopeni Matapel Bado yupo yupo sana Jangwani....
Anaye jiweza Bil 6.9 Asogee kwa Mazungumzo Onyo Ogopa Sana Matapeli #azam #azamtv #azamsporthd #azamsport2 #azamtvapp #azamtwo #azamone #sultan #wcb #theone #ssc #ccl #vpl #tpl #ligikuutanzaniabara #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #startv #sisi #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #clouds #itv #habari #simbasc #nguvumoja #yangavssimba #ainama #azamhd
⏩Bila shaka haya Mambo Wamefanya pia Mazoezini ⏩kumbukumbu faul iliyopigwa na Mbuyu twite nje kama M20 kutoka usawa wa goal ⏩Ngassa (kiberenge) akifanyiwa faulu......
⏩Tarehe 29-10-2013...... NOTE BE: MKUTANO YANGA KESHO TAR.5/O5/2019
Yanga imeendelea kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kuichapa Tanzania Prisons mabao 2-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
Yanga iliyokuwa bora katika mchezo wa leo, ilifunga mabao yake kupitia kwa Wacongomani Papi Tshishimbi na Heritier Makambo wakati bao la kufutia machozi kwa upande wa Prisons lilifungwa na Ismail Kada
Tshishimbi ndiye aliyeanza kuifungia Yanga bao la kuongoza kwenye dakika ya 23 akimalizia mpira wa adhabu uliochongwa na Ibrahim Ajib
Hilo lilikuwa bao la 16 kutengenezwa na Ajib msimu huu
Dakika tisa baadae Kada aliisawazishia Prisons akiujaza mpira wavuni baada ya walinzi wa Yanga kuzembea kuondoa mpira wa kona
Makambo aliihakikishia Yanga ushindi kwenye dakika ya 66 akiunganisha kwa kichwa krosi ya Paulo Godfrey 'Boxer'
Ushindi huo umeifanya Yanga kuwa timu ya kwanza kufikisha alama 80 msimu huu na kuendelea kujikitia kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama nane dhidi ya Simba inayoshika nafasi ya pili ikiwa na alama 72
Baada ya ushindi huo, Yanga itaelekea mkoani Iringa tayari kwa mchezo wa nusu fainali kombe la FA (ASFC) dhidi ya Lipuli, mchezo ukitarajiwa kupigwa Jumapili, May 05
#azam #azamtv #azamtvapp #vpl #tpl #ssc #ccl #sisi #sisinisoka #sisinisokaburudaniinaendelea #ligikuutanzaniabara #tanzaniapremierleague #jibebe #sultan #milladayoupdates
IBRAHIMU AJIBU MIGOMBA....
Amebakiza Mwezi Mmoja tu kuitimikia Jangwani, Kauli ya kiungwana Ajibu Amekuwa Msaada Upatikanaji wa Magoli.
Mala Nyingi Amekuwa Akiamua Mchezo kutokana na Uwezo wake pasi za Mwisho, Siyo tu pasi Bali hata kufunga kweli Ametimiza Kwa asilimia 69%/100%
Hata hivo ukweli ni kwamba hatukuwa vizuri kwenye safu ya ushambuliaji ukiangalia tumemtegemea Mzee wa kuwajaza Makambo (**) Mie sina kinyongo na Ajibu Kuna Minong'ono Huenda akawa kasaini upande wa pili tusikasirike kwa hili Mchezaji acheze kwa huru sehemu Ambaye itamfaa yeye na family yake, Niseme tu kwa kucheza Mpira yanga Asilimia 100% namba alikuwa nayo kama ataenda simba itambidi akaze kamba kwa ajili ya Kusaka Namba, kama Anabaki Na Sisi karibu Maisha ya Endelee.... Chagua Maisha halisi Ajibu sehemu utakayofurahi Na family pia na Roho yako ikafurahi kumbuka kwenye hivi vilub vyetu hivi hakuna Mchezaji Mkubwa cha Mhimu kupambana tu ili tupate fokasi ya kwenda Mbele zaidi yaani kimataifa.... C10 Ajibu kila lakheri katika Uamzi wako ushauri Wangu Baki jangwani****(jokes)
#azam #azamtv #azamsporthd #azamsport2 #azamtvapp #azamtwo #azamone #sultan #wcb #theone #ssc #ccl #vpl #tpl #ligikuutanzaniabara #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #startv #sisi #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #clouds #itv #habari #simbasc #nguvumoja #yangavssimba #ainama #azamhd
✍Nimemuona ngassa na kavumbagu kama wewe shabiki wa kweli niambie umemuona...nani,,,,¿ ✍Hii stayle sankolo wimbo wa @diamondplatnumz alikuwa anapenda sana SIMON MSUVA kuutumia .....pindi akiweka kambani Maisha nisafari...... ✍27/7/2019 Yanga tutaandika Historia Mpya Sepa na kijiji hiii siyo powa ewe Mwana Yanga Mwenzangu Team Bora inajengwa na wewe Hapo Karibu TAIFA...
Tujumuike kwa Pamoja.....
https://www.instagram.com/p/BzCltgeAF3c/?igshid=lx54qnbtbyge#azam #azamtv #azamsporthd #azamsport2 #azamtvapp #azamtwo #azamone #sultan #wcb #theone #ssc #ccl #vpl #tpl #ligikuutanzaniabara #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #startv #sisi #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #clouds #itv #habari #simbasc #nguvumoja #yangavssimba #ainama #azamhd
✍yanga ya Karne Hii ilikuwa SUB je firt 11 si Balaa....
@esaualouyce
@esaualouyce
@esaualouyce
@esaualouyce
@esaualouyce
#azam #azamtv #azamsporthd #azamsport2 #azamtvapp #azamtwo #azamone #sultan #wcb #theone #ssc #ccl #vpl #tpl #ligikuutanzaniabara #tanzaniapremierleague #azamfederationcup #startv #sisi #sisinisokaburudaniinaendelea #sisinisoka #clouds #itv #habari #simbasc #nguvumoja #yangavssimba #ainama #azamhd
Собрать статистику #SISINISOKABURUDANIINAENDELEA выполните поиск с получением статистики (Перейти к подбору).