supportybykingkiba rhumba kingsmusicrecords kingkiba taabani rockstarafrica k_2ga oneandonly faceapp happybirthdayabel ommydimpoz rockstartelevision supriseclubberlin
@cham_music the #GENTLEMAN Hit maker wa #taaban, alie wahi kutamba na #DespacitoCover.
Daaaa, nasema tu ukweli ni kwamba wasanii wengi #undurground Wana muziki mzuri kushinda wenye majina Yao, tujaribu kuwapa nafasi nawao ili tupate kitu chatofauti kutoka kwao, moja wapo nihuyu @cham_music, aiseee, huyu jamaa ni anajua, nimejaribu kukuwekea link ya wimbo wake #taaban hapo kwa bio yangu,
Audio is out na video itatoka soon,
.
#cham_music
#taaban
#DespacitoCover
#supportyBykingkiba