tuelewane tukutanekazini arushakijani chamanimimichamaniwewe miminasimamanaraiswangu tukutaneserikalizamitaa2019 tumehaidi vijanajeuriyachama zanzibar changetanzania mwanza tanzania afya arusha diamondplatnumz kenya amazing burundi hamisamobetto millardayoupdates rwanda afyabora airtanzania comoro dodoma hapakazitu healthy hiiniyetusote istandwithcag usingizi
Chungulia Muonekano Wa Uwanja Mpya wa Ndege Terminal 3.
.
.
Umegharimu Euro Milioni 276 sawa na Tshs Bilioni 560 za kitanzania.
.
.
Una uwezo wa kuhudumia Abiria Milioni 6 kwa mwaka, na Abiria 2,800 kwa Siku kwa peak hours.
.
.
Ndege kubwa 8 aina za Boeing 787 na Ndege ndogo 11 kwa wakati, hii ni sawa na Ndege 19 kwa wakati.
.
.
Parking ni Gari 2,000 kwa wakati Mmoja.
.
.
Uwanja umekamilika kwa asilimia 99 mpaka sasa,mkandarasi anamaliza Ujenzi na kukabidhi tarehe 31 May, jambo la kufurahisha ni kwamba atakabidhi tar 29 Siku mbili kabla ya mkataba kumalizika.
.
.
Miradi yote chini ya uongozi wa Rais Dkt John Joseph Pombe Magufuli iko salama na inakamilika kwa wakati.
.
.
#DestinationTanzania #TanzaniaUnforgetable #TanzaniaMpya #Tunatekeleza #Tuelewane #TanzaniaOyeee